19 Nov

Waziri Mkuu Hachukulii Poa. Waziri mkuu Muheshimiwa Kasim Majaliwa Majaliwa anaunga mkono kampeni ya kitaifa ya usafi wa mazingira, ujenzi wa vyoo bora na unawaji mikono. Jana katika ziara yake halmashauri ya wilaya Lushoto amewaambia wanalushoto si vyema kujisaidia vichakani na pia kukosa choo bora kuna madhara makubwa…