09 Feb

Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan akipokea zawadi kutoka kwa Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe. Ummy Mwalimu baada ya kuzindua kampeni ya Usichukulie Poa Nyumba ni Choo  mkoani Dodoma.

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisisitiza umuhimu wa usafi wa mazingira alipokuwa anazindua kampeni ya Usichukulie Poa Nyumba ni choo mkoani Dodoma, Mei 2018.